November 27, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SHELUI, IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nzega mjini (hawaonekani pichani) mkoani Tabora wakati akielekea Isaka Shinyanga.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akizungumza na wananchi wa Igunga mkoani Tabora wakati akielekea Nzega.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Shelui mkoani Singida wakati akielekea Igunga mkoani
Tabora.
Wananchi wa Shelui wakishangilia mara baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages