Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Wananchi nchini imemtangaza rasmi, Meneja Mkazi wa Tanzania wa Kampuni, Sanctus Mtsimbe huku Kennedy Ojungo akiteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simbaNet.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari ilisema kampuni hiyo inatoahuduma tofauti tofauti katika nchi nyingi barani Afrika ambapo miongoni mwa nchi zilizokuwa zinafanya kazi na kampuni hiyo ni pamoja Kenya, Uganda, Tanzania, Malawi, na Zambia.
Aidha katika taarifa hiyo ilisema Mtsimbe amepitia katika uongozi mbalimbali ikiwemo Ofisa Mwandamizi wa SimbaNet Afrika Mashariki pia tayari aliwahi kuwa na nafasi ya Meneja Mkuu wa Teknolojia ya Mawasiliano ya Airsys (Uingereza) na Meneja Mauzo wa Mkoa kwa Mawasiliano ya Danimex ya nchini Denmark. Kennedy ana uzoefu mkubwa katika tasnia ya Mawasiliano baada ya kufanya kazi katika uwezo wa juu wa mashirika anuwai ya kimataifa.
Aidha Kikundi cha Wananchi hufanya biashara mbalimbali ikiwemo mawasiliano ya makazi, mtandao na huduma za burudani na huduma za mawasiliano ya biashara.

No comments:
Post a Comment