Na Irene Mark
UBALOZI wa Ufaransa umeanda maadhimisho ya siku 12 kwa kukutanisha watu wa mataifa mbalimbali wanaozungumza kifaransa na wanaopenda kujifunza lugha hiyo.
Maadhimisho hayo yataanza Machi 17 hadi 28, 2020 yakiwahusisha mabalozi 13 kutoka nchi zinazozungumza Kifaransa na kuonesha shughuli mbalimbali zenye tamaduni za kifaransa.
Wakizungumza na waandishi wa Habari Dar es Salaam, mabalozi saba kati ya 13 walisema ni maadhimisho ya aina yake yenye azma ya kuitangaza zaidi lugha hiyo adhimu.

No comments:
Post a Comment