Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Uwekezaji ya UTT AMIS wakielekea Jengo la Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, kutoa msaada wa vifaa tiba kwa watoto wanaougua saratani waliolazwa kwenye wodi hiyo, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. (Picha na Francis Dande).


No comments:
Post a Comment