Dk. Mwigulu Nchemba |
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. John Pombe Magufuli amemteua Dk. Mwigulu
Nchemba (Mbunge wa
Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Uteuzi wa Dk. Mwigulu
Lameck Nchemba unaanza leo tarehe 02 Mei, 2020.
Dk. Mwigulu Lameck
Nchemba anachukua nafasi ya Balozi
Dk. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia jana tarehe 01 Mei, 2020.
No comments:
Post a Comment