July 17, 2020

HASUNGA ARUDISHA FOMU ZA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VWAWA KWA TIKETI YA CCM

 Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akimkabidhi Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi Ndg Julius Mbwiga Fomu alizozijaza za Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 15, 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal).
 Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akionyesha Fomu alizozijaza za Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambazo amezijaza na kuzirejesha leo Julai 15, 2020. 
Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi Ndg Julius Mbwiga akikagua fomu zilizowasilisha ofisini kwake na Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga za kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 15, 2020. 

No comments:

Post a Comment

Pages