DK. NDUMBARO ARUDISHA FOMU
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.
Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ameambatana na Mke wake Bi. Florah Ndumbaro
leo Julai 17, 2020 amefika katika Ofisi Kuu ya CCM ya Wilaya ya Songea
Mjini kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi wa Jimbo
la Songea Mjini.
No comments:
Post a Comment