July 12, 2020

KINANA, WASANII WANOGESHA MKUTANO MKUU WA CCM JIJINI DODOM

 Msanii Bill Nass na wenzie wakitumbuiza katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020.
 Msanii Diamond Platinumz akitumbuiza kwa wimbo wa "Magufuli Baba Lao" wakati wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutanowa Jakaya Kikwete jijiji  Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020.
Msanii nguli wa Bongo Fleva Ali Kiba akitumbuiza wajumbe katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020.
 Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana akielekea
jukwaa kuu kusalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika
ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11,
2020, ikiwa ni siku moja baada ya chama hicho tawala kumsamehe baada
ya kuomba radhi kwa makosa aliyoyafanya miezi kadhaa iliyopita.
Kwaya ikitumbuiza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020.
 Mama Janeth Magufuli, Mke wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimtuza msanii Bob Haisa alipotumbuiza wakati wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya
Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020
Msanii Zuchu akitumbuiza katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020

No comments:

Post a Comment

Pages