July 12, 2020

PAMBANO LA SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA

 Mshabiki wa soka wakiingia uwanjani kushuhudia nusu fainali ya kombe la FA kati ya Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshika 4-1. (Picha na John Dande).
  Mshabiki wa soka wakiingia uwanjani kushuhudia nusu fainali ya kombe la FA kati ya Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshika 4-1. (Picha na John Dande).
 Chama akiwaoka wachezaji wa Yanga.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia moja kati ya mabao waliyofunga katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Yanga. (Picha na John Dande).

No comments:

Post a Comment

Pages