July 14, 2020

NEC YAHAMIA DODOMA

 Murugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza na watumishi wa NEC ambao wamehamia Ofisi mpya za Makao Makuu ya Ofisi hiyo yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana. Awamu ya kwanza ya watumishi wa NEC wamehamia Dodoma wiki hii. (Picha na NEC).

Watumishi katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) wakimsikiliza Murugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera (hayupo pichani) wakati akizungumza na watumishi waliohamia kwa awamu ya kwanza  katika ofisi mpya za Makao Makuu tume  yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma. (Picha na NEC).

No comments:

Post a Comment

Pages