July 20, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi  Marwa Mwita Bubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Aloyce Nzuki kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai
20, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Anthony Sanga, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Seif Shekilage kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha, Dkt Allan Kijazi, kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Nadhifa Kemikimba kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Minyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages