July 14, 2020

WAZEE NACHINGWEA WAMCHANGIA RAIS DKT. MAGUFULI, WAZIRI MKUU AWASHUKURU AAHIDI KUFIKISHA SALAMU

 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Mzee Hamis Kambona (wapili kutoka kushoto) wakati akipokea  mchango wa Shilingi laki moja kutoka kwa wazee wa wilaya na Nachingwea kwa ajili ya kumchangia, Rais Dkt.  John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa  mwaka huu, kwa kutambua mchango mkubwa katika kuiletea Tanzania maendeleo. Tukio hilo lilifanyika kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea wakati Waziri Mkuu alipowasili akiwa jiani kwenda Ruangwa, Julai 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipokea risiti ya malipo ya shilingi Laki moja kutoka kwa Mzee Abdalah Saidi Kaliondima, kwa ajili ya kumchangia, Rais Dkt. John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, kwa kutambua mchango mkubwa katika kuiletea Tanzania maendeleo, Tukio hilo lilifanyika kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea wakati Waziri Mkuu alipowasili akiwa jiani kwenda Ruangwa, Julai 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwashukuru wazee wa wilaya na Nachingwea baada ya kupokea risiti ya malipo ya shilingi Laki moja walizozitoa kwa ajili ya kumchangia, Rais Dkt.  John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa  mwaka huu, kwa kutambua mchango mkubwa katika kuiletea Tanzania maendeleo. Tukio hilo lilifanyika kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea wakati Waziri Mkuu alipowasili akiwa jiani kwenda Ruangwa, Julai 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Pages