August 20, 2020
Home
Unlabelled
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA CCM (NEC) KATIKA MAKAO MAKUU YA CCM JIJINI DODOMA
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA CCM (NEC) KATIKA MAKAO MAKUU YA CCM JIJINI DODOMA
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa NEC wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, kwa ajili ya kujadili na kupitisha majina ya wagombea wake wa Ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao.

No comments:
Post a Comment