August 22, 2020

VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA IRINGA VYAFANYA MAZOEZI YA UTAYARI UCHAGUZI MKUU 2020

 Leo Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa ameongoza mazoezi ya utayari kwa vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama. Lengo ni kujiweka tayari kwa uchaguzi Mkuu. Nimewatumia picha kadhaa.

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Juma Bwire (kulia), akiongoza vikosi vya Ulinzi na Usalama katika mazoezi ya utayari kuelekea katika Uchaguzi Mkuu.

Askari wa majeshi mbalimbali ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Iringa wakiwa kwenye mazoezi ya utayari kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi).

No comments:

Post a Comment

Pages