Abeid Amani Karume alikua shujaa alipoyaongoza Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, Kutoka hapo Visiwa vimeendelea kuzalisha vijana waliorithi Mila, Desturi na Utamaduni wa kupigana vita za Maendeleo ya Zanzibar kwa Ari Kubwa. Sasa vijana wanazuoni visiwani wanasema wamebeba ushujaa wa Karume na wamejipiga muhuri kuipambania Zanzibar wanayoitaka, Leo watatoka na Agenda yao, inayohusu Maendeleo yao. Cc: @dr.mwinyi @fanikisha_ushindi @uvccm_zanzibar @uvccm_tz @ccm_tanzania @ccm_zanzibar.
No comments:
Post a Comment