Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akiwasalimia wananchi waliofika katika mkutano wa
kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa jimbo la Morogoro Mjini leo
Septemba 29, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akimsikiliza mgombea ubunge jimbo la Morogoro Mjini, Devota Minja.Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CHADEMA jimbo la Morogoro Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akimsikiliza mgombea ubunge jimbo la Morogoro Mjini, Devota Minja.Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CHADEMA jimbo la Morogoro Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa
kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa jimbo la Morogoro Mjini leo
Septemba 29, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Morogoro Mjini Devota Minja wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa leo Septemba 29, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akiagana na Afisa wa Polisi baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa jimbo la Morogoro Mjini leo Septemba 29, 2020.
No comments:
Post a Comment