Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
leo Oktoba 7, 2020 katika jimbo la Songea Mjini mkoani Ruvuma.
Wakazi wa Kata ya Songea Mjini wakimsikiliza mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
leo Oktoba 7, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Nyanyumbu, Mansa Nyuchi.Mgombea udiwani Kata ya Kilimahewa, Dadi.
Mgombea udiwani Kata ya Chipuputa, Bashiru Nyasa.
Mgombea udiwani Kata ya Sengenya, Mwiba Ngorokolo.
Mkutano ukiendelea.
Mwnyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Suleiman Mathew, akizungumza na wakazi wa Kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu mkoani Mkwara leo Oktoba 7, 2020.
Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akisalimiana na mtoto Mwanaheri Selemani,
wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Mnadani
Kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu mkoani Mtwara.Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akisalimiana na mtoto Mwanaheri Selemani, wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Mnadani Kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu mkoani Mtwara.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akisalimiana na Mzee Jirani Letamoyo aliyejitambulisha kama askari mstaafu baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mnadani Kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu mkoani Mtwara leo Oktoba 7, 2020.

Mzee Jirani Letamoyo aliyejitambulisha kama askari mstaafu akiagana na mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mnadani Kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu mkoani Mtwara.
Wananchi wa eneo la Michinga jimbo la Nanyumbu mkoani Mtwara wakiwa wamesimamisha msafara wa mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu wakati akielekea Tunduru katika mkutano wa kampeni leo Oktoba 7, 2020.
Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
leo Oktoba 7, 2020 katika jimbo la Songea Mjini mkoani Ruvuma.
Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwasalimia wakazi wa Kata ya Songea Mjini mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
leo Oktoba 7, 2020 katika jimbo la Songea Mjini mkoani Ruvuma.
No comments:
Post a Comment