HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 05, 2020

MGOMBEA MWENZA KUPITIA CHADEMA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA MAJIMBO YA ILALA, UKONGA NA KIGAMBONI

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 5, 2020 katika jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni jimbo la Ilala.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu,akimnadi mgombea ubunge jimbo la Ilala, Hashim Juma, wakati wa mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kinondoni, Suzan Lyimo.
Wananchi wa jimbo la Ilala wakiwa katika mkutano wa kampeni.
Wananchi wa jimbo la Ilala wakiwa katika mkutano wa kampeni.
Wagombea udiwani kupitia CHADEMA jimbo la Ilala.

Wananchi wakisikiliza mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu uliofanayika leo Oktoba 5, 2020 katika jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Ukonga, Asia Msangi.
Mgombea ubunge jimbo la Ukonga, Asia Msangi, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 5, 2020 jijini Dar es Salaam.

Bi. Amina Abdallah Mpasula (81), akitoa malalamiko yake wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, katika uwanja wa Kampala, Ukonga jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2020. Wa pili kushoto ni Mgombea ubunge, jimbo la Ukonga, Asia Msangi.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akiwanadi wagombea udiwani wa jimbo la Kigamboni.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kigamboni, Lucy Magereli. 

No comments:

Post a Comment

Pages