MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM AWASILI ZANZIBAR
Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM akiwasalimia viongozi mbalimbali
pamoja na Wanachama wa CCM mara baada ya kuwasili Kisiwani Zanzibar
wakati akitokea Tunduma mkoani Songwe.
No comments:
Post a Comment