Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Oktoba 12, 2020 Tunduma mkoani Songwe.
Wananchi wakishangilia wakati Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
Tunduma Oktoba 12, 2020.
Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Tunduma Frank Mwakajoka wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika
Tunduma mkoani Songwe.
Mgombea Mwenza wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akizungumza na kada wa chama hicho baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni Tunduma Mjini.
Mgombea Mwenza wa CHADEMA Mhe. Salum MwalimWakazi wa Mji wa Tunduma wakiwapungia wananchi waliofika kusikiliza sera za mgombea huyo.
Wakazi
wa Mji wa Tunduma wakimsindikiza mgombea Mwenza wa CHADEMA Mhe. Salum
Mwalim pamoja na mgombea ubunge jimbo la Tunduma, Frank Mwakajoka wakati
wakitoka kuhutubia mkutano wa kampeni.
Wakazi wa mji wa Tunduma wakimsindikiza mgombea Mwenza wasindikiza Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Vwawa, Fanuel Mkisi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo.Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Vwawa.
Wananchi wakishangili wakati Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni.
Wananchi wakishangili wakati Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akiwasili kijiji cha Halungu jimbo la Mbozi.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Halungu jimbo la Mbozi mkoani Songwe.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Halungu jimbo la Mbozi mkoani Songwe.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akiwanadi wagombea udiwani katika jimbo la Mbozi kupitia CHADEMA. Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mbozi, Pascal Haonga.
Mgombea ubunge jimbo la Mbozi, Pascal Haonga, akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo hilo.
Mgombea ubunge jimbo la Mbozi, Pascal Haonga, akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo hilo.
No comments:
Post a Comment