MAKAMU WA RAIS AMJULIA HALI MKUU WA WILAYA YA MLELE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akimjuilia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi, Recho
Kasanda, aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu leo
Nopvemba 09,2020.
No comments:
Post a Comment