Mbunge Mteule wa kongwa, Job Ndugai akizungumza
na ugeni kutoka CRDB Benki ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela
(kulia kwake), Maafisa Waandamizi kutoka Ofisi ya Bunge na Waandishi wa habari baada
ya kukabidhiwa mabegi 400 kwa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania tukio lililofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini
Dodoma. Kushoto ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.`
Mbunge Mteule wa Kongwa, Job Ndugai (wa pili kulia) akikabidhiwa begi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) tukio lililofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto). Benki ya CRDB imetoa Mabegi 400 kwa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

` Mbunge Mteule wa Kongwa, Job Ndugai (kulia) akisalimiana
na Waheshimiwa Wabunge wakati wa usajili unaoendelea leo katika viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma, ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Bunge la 12
linalotegemewa kuanza tarehe 10 Novemba, 2020 Jijini Dodoma.
Mbunge
Mteule wa Kongwa, Job Ndugai akifanyiwa
usajili na Afisa wa Bunge, Monica Mwamnyange ikiwa ni maandalizi kwa
ajili ya Bunge la 12 linalotegemewa kuanza tarehe 10 Novemba, 2020 tukio
lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Mbunge Mteule wa Kongwa, Job Ndugai akishuhudia usajili na Waheshimiwa Wabunge unaoendelea leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Bunge la 12 linalotegemewa kuanza tarehe 10 Novemba, 2020 Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment