Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa, akimkabidhi cheti, Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa
Benki ya NMB - Benedicto Baragomwa (kushoto), kutambua mchango wa Benki
hiyo kudhamini Kongamano la 11 la Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi (PSPTB)
linalofanyika jijini Arusha. Wa pili kulia ni Waziri wa Fedha na
Mipango,
Dk. Philip Mpango na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
- Anna Mghwira.
No comments:
Post a Comment