MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZUNGUMZA NA MENEJMENT NA IDARA YA MAZINGIRA KIKAO KAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya
Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza
leo Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment