December 11, 2020

POLISI IRINGA LAPATA TUZO KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Na Datus Mahendeka, Jeshi la Polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa  limepata tuzo kutoka kwa Ofisi ya Mkoa wa kwa kazi linalofanya katika kupinga matukio dhidi ya Ukatili wa Kijinsia.

Akipokea tuzo hiyo kwa naiba ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Mrakatibu wa Polisi, Apalilia Kibona amesema tuzo hiyo italifanya Jeshi la Polisi kuongeza juhudi katika kupambana na kuzuia matukio ya uhalifu.

Amesema wataendelea kushirikiana na wadau pamoja na kufanya misako, doria maeneo ya mkoa wa Iringa.
Mrakibu wa Polisi Mkoa wa Iringa, Apalilia Kibona akizungumza katika maadhimisho ya siku 16 ya kupinga Ukatili wa Kijinsia.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Happines Seneda (kulia) akimkabidhi mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa Mrakibu wa Polisi Apallia Kibona, tuzo ya kuthamini kazi ya Jeshi dhidi ya kusuka matukio ya ukatili wa Kijinsia.
 Baadhi ya washiriki katika maadhimisho hayo wakimkiliza kwa lakini Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Happiness Seneda haupo pichani, kuhusu masuala mbalimbali YA kusuka Ukatili wa Kijinsia. (Picha zote na Datus Mahendeka, Jeshi la Polisi).

No comments:

Post a Comment

Pages