July 02, 2021

MAKAMU WARAIS AKUTANA NA SHIRIKISHO LA WAFANYA BIASHARA WA UFARANSA

 

 

Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akifanya mazungumzo na Shirikisho la Wafanya biashara wa Ufaransa (MEDEF) Mjini Paris – Ufaransa. Shirikisho hilo linahusisha baadhi ya kampuni kubwa kama vile TOTAL ENERGIES na AIR BUS ambazo tayari zimefanya uwekezajikatika maeneo mbalimbali nchini.


Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika Picha ya pamoja na RAis wa shirikisho la wafanyabiashara wa Ufaransa (MEDEF) MOMAR NGUER wakati walipokutana kufanya mazungumzo na shirikisho hilo Paris Nchini Ufaransa.

No comments:

Post a Comment

Pages