HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 13, 2021

Rais Samia akutana na kuzungumza na Balozi wa Oman Nchini anaemaliza muda wake


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake hapa nchini  Ali Bin Abdallah Bin Salim Al Mahrouqi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga leo tarehe 12 Agosti, 2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages