September 25, 2021

BENKI YA CRDB YADHAMINI BONANZA LA WALIMU BAGAMOYO


Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bagamoyo, Jane Christopher, akizungumza katika Bonanza la Walimu wa Idara ya Sekondari Wilaya ya Bagamoyo ambapo benki hiyo ilidhamini bonanza hilo.


 

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bunju, Nelwike Mwampamba, akizungumza katika Bonza la Bonanza la Walimu wa Idara ya Sekondari Wilaya ya Bagamoyo.

 

 

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bagamoyo, Jane Christopher.


Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bunju, Jane Christopher. Nelwike Mwampamba.

 

Meneja Mikopo ya watumishi Benki ya CRDB, Joseph Mosha, akizungumza wakati wa Bonanza la Walimu wa Idara ya Sekondari Wilaya ya Bagamoyo.

Mgeni rasmi Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Bagamoyo, Alois Kaziyareli, akitoa hotuba ya ufunguzi wa Bonanza la Walimu Wilaya ya Bagamoyo liliofanyika katika Uwanja wa Mwanakalenge Bagamoyo.
Mteja akifungua akaunti.
Wakuu wa Shuke za Sekondari wakichuana katika mchezop wa kukimbia na gunia.







Kiromo wakifurahia ushindi.

Kukimbiza Kuku.
 Mshindi.
 











No comments:

Post a Comment

Pages

â–¼