October 01, 2021

Prof. Mbarawa akabidhi vifaa vya ujenzi

Muonekano wa jengo la madarasa ya shule ya Msingi Mkanyageni yanayojengwa na Mbunge wa Jimbo la Mkoani Prof. Makame Mbarawa katika Mkoa wa Kusini Pemba.

Shehena ya mbao zilizotolewa kwaajili ya kuezekea madarasa ya shule za msingi Michenzani, Mkanyageni, Ngombeni na zahanati ya Tasini katika Jimbo la Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.

Mbunge wa Jimbo la Mkoani Prof. Makame Mbarawa (kulia), akikabidhi bati kwa walimu wa shule za msingi Michenzani, Mkanyageni, Ngombeni na zahanati ya Tasini katika Jimbo la Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.


 Mbunge wa Jimbo la Mkoani Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akisisitiza jambo kwa walimu mara baada ya kukabidhi mbao na bati kwaajili ya kuezekea shule tatu na zahanati moja katika jimbo hilo Mkoa wa Kusini Pemba.

No comments:

Post a Comment

Pages