Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala Barabara nchini
(TANROADS) Mhandisi Rogatius Mativila kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Daraja la
Tanzanite linaloendelea kujengwa katika eneo la Selander Jijini Dar es Salaam
wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo tarehe 04 Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akitembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Tanzanite
linaloendelea kujengwa katika eneo la Selander Jijini Dar es Salaam wakati
alipofanya ziara ya kushtukiza leo tarehe 04 Novemba 2021. Kulia ni
mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Rogatius
Mativila.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akizungumza na wafanyabiashara wadogowadogo katika eneo la Coco Beach
Jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo tarehe 04
Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akisalimiana na wafanyabiashara wadogowadogo katika eneo la Coco Beach
Jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo tarehe 04
Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Novemba 2021.
No comments:
Post a Comment