Mkurungenzi wa wateja
wakubwa na Serikali wa Benki ya CRDB, Prosper Nambaya (kulia) na Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dk Venance Mwasse
wakitiliana saini mkataba wa makubalino baina ya pande hizo mbili kwaajili ya mikopo ya wachimbaji wadogo Tanzania. Wanaoshuhudia
kushoto ni Mwanasheria wa STAMICO, Robert Ambrose na Meneja Mahusiano Idara ya
Wateja wakubwa wa Benki ya CRDB, Alex Rwegayura. Mkataba huo ulisainiwa Jijini Dodoma leo
Januari 24,2022 wakati wa Mkutano wa 24 wa Chama cha Wanawake Wachimba Madini
Tanzania (TAWOMA).
Mkurungenzi wa wateja wakubwa na Serikali wa Benki ya CRDB, Prosper Nambaya akitia saini kwa niaba ya Benki ya CRDB ambayo imekusudia kuwakopesha Wachimbaji wadogo. Jambo ambalo litawezesha wachimbaji hao kupata mitaji na kufanya kazi zao za uchimbaji wenye tija.
Mkurungenzi wa wateja wakubwa
na Serikali wa Benki ya CRDB, Prosper Nambaya (kulia) na Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dk Venance Mwasse
wakibadilishana mkataba wa makubalino baina ya pande hizo mbili waliosaini
kwaajili ya mikopo ya wachimbaji wadogo
Tanzania. Wanaoshuhudia kushoto ni Mwanasheria wa STAMICO, Robert Ambrose na
Meneja Mahusiano Idara ya Wateja wakubwa wa Benki ya CRDB, Alex Rwegayura. Mkataba huo ulisainiwa Jijini Dodoma leo
Januari 24,2022 wakati wa Mkutano wa 24 wa Chama cha Wanawake Wachimba Madini
Tanzania (TAWOMA).
Wabunge wanawake walioshiriki mkutano Mkutano wa 24 wa Chama cha Wanawake Wachimba Madini Tanzania (TAWOMA) jijini Dodoma leo Januari 24,2022.
Viongozi wa Benki ya CRDB wakifuatilia matukio
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dk Venance Mwasse akizungumza baada ya kutiliana saini na Benki ya CRDB.
Wanachama wa TAWOMA wakifuatilia kwa makini matukio katika mkutano wao.
Mkurungenzi wa wateja wakubwa na Serikali wa Benki ya CRDB, Prosper Nambaya akizungumza na baada ya kuingia makubaliano na Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) jijini Dodoma leo ambapo CRDB itakua ikikopesha fedha kwa wachimbaji wadogo nchini Tanzania.
Wabunge wanawake walioshiriki mkutano Mkutano wa 24 wa Chama cha Wanawake Wachimba Madini Tanzania (TAWOMA) jijini Dodoma leo Januari 24,2022.Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha Zeytun Swai akifuatilia mkutano huo wa Mkutano wa 24 wa Chama cha Wanawake Wachimba Madini Tanzania (TAWOMA) jijini Dodoma leo Januari 24,2022.
Wabunge wanawake walioshiriki mkutano Mkutano wa 24 wa Chama cha Wanawake Wachimba Madini Tanzania (TAWOMA) jijini Dodoma leo Januari 24,2022.
Wanachama wa TAWOMA wakifuatilia kwa makini matukio katika mkutano wao.
No comments:
Post a Comment