Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi, 2022.
No comments:
Post a Comment