May 28, 2022

BENKI YA CRDB YATOA TUZO KWA MFANYAKAZI BORA KANDA YA MASHARIKI

Meneja Logistic Benki ya CRDB, Savio Fernandes, akiwa na Tuzo yake aliyokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa kutambua mchango wake katika kukuza biashara katika benki hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd, akimkabidhi Tuzo Meneja Logistic wa Benki ya CRDB, Savio Fernandes, kwa kutambua mchango wake katika kukuza biashara ya benki hiyo Kanda ya Mashariki.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es salaa, Badru Idd, akimkabidhi zawadi za vitenge Meneja Logistic wa Benki ya CRDB, Savio Fernandes, kwa ajili ya mke wake wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Tuzo kama ishara ya kutambua mchango wake katika kukuza biashara Kanda ya Mashariki.

Mkuu wa Kitengo cha Umiliki na Usimamizi wa Mali za Benki ya CRDB, Beatus Segeja, akimpongeza Meneja Logistic wa benki hiyo,CRDB, Savio Fernandes, baada ya kukabidhiwa Tuzo kwa kutambua mchango wake katika kukuza biashara Kanda ya Mashariki.

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es salaa, Badru Idd, akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Tuzo Meneja Logistic wa Benki ya CRDB, Savio Fernandes.


Mkuu wa Kitengo cha Umiliki na Usimamizi wa Mali za Benki ya CRDB, Beatus Segeja, akizungumza wakati wa hafla hiyo.

 

Picha ya pamoja.

Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Oysterbay, Clementina Konabo, akizungumza katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages