Waziri wa Ujenzi Prof Makame Mabawala akizungumza na Mkurugeni wa Kampuni ya GF Trucks & Equipment’s Ltd, Salman Karmal wakati wa mkutano wa bodi ya wakandarasi nchini uliofanyika jijini Dodoma jana.Kati kati niMwenyekiti wa Bodi ya wakandarasi nchini, Consolata Ngimbwa.
Katika kuhakikisha Wakandarasi wadogo na wakati wanajikomboa na hali mbaya ya kuchelewesha miradi wanayopatiwa Suluhisho ya hayo yote limepatikana leo jijini Dodoma.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Bodi ya Wakandarasi chini Mkurugenzi wa kampuni ya uuzaji wa magari (trucks) na mitambo ya kutengenezea barabara.
GF Trucks & Equipment’s Ltd, Salman Karmal aliwataka wakandarasi na Wahandisi nchini kununa magari na mitambo katika kampuni hiyo kwani wanautaratibu mzuri wa kuwakopesha wakandarasi wadogo na wakati ambao wana miradi tayari lakini kutokana na kutokuwa na mitaji wao kama GF wanakitengo maalumu kwa kushiorikiana na Tasisi za kibenki kumwezesha mkandarasi kupata mitambo na magari kwa mashariti nafuu
Pia kampuni hiyo inayojishungulisha na uuzaji wa Magari ya FAW, HONG YANG na mitambo aina ya XCMG
Mooja wa wanufaika wa mpango huo wa kampuni hiyo ambae amefaidika na huduma hiyo ya kukopeshwa vitendea kazi Eng Baraka Emanueli alisema kupitia kampunim hiyo walianza na Tipper moja na sasa wanamiliki magari 3 walioanza kukopa miaka 3 iliyopita na kufanikiwa kulipa hatimae sasa hivi wamechukua machine ya XCMG hivyo utaratibu huo umewanufaisha wao kwani wakati wanapata tenda ya kuchukua makaa yam awe hawakuwa na uwezo alimaliza Emanuel.
No comments:
Post a Comment