May 09, 2022

Mwimbaji wa nyimbo za injili Peter Lubango azindua kwa kishindo 'EP' yake Mlimani City jijini Dar es Salaam

 

Msanii wa nyimbo za injili Peter Lubango akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa nyimbo zake ‘EP’ uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).

Mwimbaji wa nyimbo za injili Upendo Nkone, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa EP ya mwimbaji Peter Lubango akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Pages