Msanii wa nyimbo za injili Peter Lubango akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa nyimbo zake ‘EP’ uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Mwimbaji wa nyimbo za
injili Upendo Nkone, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa EP
ya mwimbaji Peter Lubango akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment