Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili Ikulu Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni wakati akisalimiana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Uganda mara baada ya kuwasili Ikulu Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia
Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi
wa Uganda kwa ajili yake mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu ya
Entebbe nchini Uganda tarehe 10 Mei 2022.
No comments:
Post a Comment