June 07, 2022

Rais Samia ashuhudia utiaji Saini Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kushuhudia utiaji Saini Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 06 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji Saini Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwa Wakandarasi walioshinda zabuni kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 06 Juni, 2022.

No comments:

Post a Comment

Pages