June 16, 2022

Yanga Bingwa 2022/22

 

 

Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya Fiston Mayele kuifungia timu yake bao katika mchezop wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Yanga ilishinda 3-0 na kutangaza ubingwa wa msimu wa 2021/0222 baada ya kufiksha alama 67.

 

Fiston Mayele akiwatoka mabeki wa Coastal Union.

 

Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao baada ya kuifunga Coastal na kutangaza ubingwa.


No comments:

Post a Comment

Pages