July 10, 2022

ARAFAT MAKAMU WA RAIS WA YANGA

Arafat Haji achaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa klabu ya Yanga SC baada ya kupata kura 545 dhidi ya kura 234 alizopata mpinzani wake, Suma Mwaitenda.

Waliopiga kura walikuwa 785 na kura zilizoharibika zilikuwa ni sita (6).



No comments:

Post a Comment

Pages