Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Abdulrahmann Kinana akiwa ameshika mashine ya kupuchukulia mahindi
iliyobuniwa na walimu kwa kushirikiana na wanafunzi katika Chuo Cha
Ufundi VETA- Dodoma. Anayetoa maelekezo ni Mwalimu wa VETA Dodoma Filbart
John Kingilisho, leo Julai 9,2022 baada ya kutembelea katika Maonesho
ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba mkoani
Dar es Salaam. (PICHA NA FAHADISIRAJI WA CCM).
No comments:
Post a Comment