July 16, 2022

CRDB Bank Instaprenyua yawakutanisha zaidi ya wafanyabiashara mtandao 300

  

Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati wa Benki ya CRDB, Boma Labala, akizungumza katika mdahalo ulioandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya  wajasiriamali wanaofanya Biashara ya Mtandao “CRDB Bank Instaprenyua” uliofanyika leo jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na wafanyabiashara zaidi ya 300 huku wengine zaidi ya milioni 1 wakifuatilia katika mitandao ya kijamii. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja CRDB, Yolanda Urio, Mwakilishi kutoka META, Gillsant Mlaseko na Mkuu wa Kitengo cha Masoko CRDB, Joseline Kamhanda. (PICHA NA JOHN DANDE).
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB, Yolanda Urio, akitoa mada katika mdahalo ulioandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wajasiriamali wanaofanya Biashara ya Mtandao “CRDB Bank Instaprenyua” uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Benki ya CRDB, Godfrey Rutasingwa (kulia), akizungumza katika mdahalo ulioandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya  wajasiriamali wanaofanya Biashara ya Mtandao “CRDB Bank Instaprenyua” uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Kodi TRA, Fredy Mwesiga na Afisa Usajili Mwandamizi BRELA, Neema Kitala. (NA MPIGA PICHA WETU).

Mwakilishi kutoka META, Gillsant Mlaseko, akitoa mada katika mdahalo ulioandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya  wajasiriamali wanaofanya biashara ya Mtandao “CRDB Bank Instaprenyua” uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. 


No comments:

Post a Comment

Pages