Mfanyabiashara na Bilionea namba moja wa nchini Marekani Elon Musk ametangaza kuwa atasitisha mkataba wa ununuzi wa kampuni ya Twitter wenye thamani ya shilingi za kitanzania Trilioni 102.
Alisema kuwa kampuni hiyo haikumpa ushirikiano wakati alipohitaji taarifa za akaunti feki za mtandao huo.
Hata hivyo Musk atatakiwa kulipa gharama ya shilingi za kitanzania Trilioni 2.3 kama sehemu ya kuvunja mkataba huo.
No comments:
Post a Comment