Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Dk. Mshindo Msolla, akimpongeza Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said baada ya kushinda kwa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment