July 16, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Kusini Pemba

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na makundi mbalimbali ya Wazee Kisiwani Pemba katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chakechake mkoa wa Kusini Pemba tarehe 16 Julai, 2022.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, wakati alimpomtembelea nyumbani kwake Utaani Wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe 16 Julai, 2022.

Sehemu ya Wazee, Viongozi wa vyama vya Siasa pamoja na Viongozi wa dini wakiwa kwenye kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Kisiwani Pemba tarehe 16 Julai, 2022.

No comments:

Post a Comment

Pages