RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akitekeleza Ibada ya Suna ya kuchinja, baada ya kumaliza Sala ya Eid Al Hajj iliyofanyika Kitaifa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 10-7-2022. na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Haroun Ali Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud. (Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Othman Hassan Ngwali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Hajj iliyofanyika katika Msikiti wa Ijitimai Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 10-7-2022, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Alhajj Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment