
Ndugu waandishi wa Habari;
Asasi za kiraia zimekuwa na mchango mkubwa kwa Taifa, mathalani kwa nafasi zao zimekuwa zikiisaidia serikali na jamii katika kutatua changamoto mbalimbali miongoni mwao zikiwa ni changamoto ya elimu kwa umma, huduma za kijamii, ajira, msaada wa kisheria na nyingine nyingi kwa kuzingatia malengo ya kila asasi kwa nafasi yake. Kwa mfano katika ripoti ya wizara ya afya inayohusu mchango wa mashirika katika kuleta maendeleo ya mwaka 2020 inaonesha kuwa AZAKI ziliweza kuingiza kwenye uchumi TZS 1,423,238,932,193 ambapo kati ya fedha hizo kiasi cha TZS 1,193,502,
Pamoja na mchango mkubwa wa asasi za kiraia bado asasi za kiraia zimekuwa zikikutana na changamoto nyingi katika utekelezaji wa majukumu yao. Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na kuminywa kwa nafasi ya asasi hizi kutekeleza majukumu yao kwa uhuru, kuwepo kwa sheria nyingi kandamizi zinazolenga kuzibana na kuminya asasi za kiraia, mifumo mibovu ya kiserikali, sera mbovu na hata ukosefu wa vibali wakati wa kutekeleza miradi yao mbalimbali kwa jamii.
Baada ya maumivu ya muda mrefu kwa miaka ya karibuni sisi kama sehemu ya asasi za kiraia tulikutana katika warsh
Kwa kipindi cha takribani miak
Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 ambayo ilitumika kuvunja na kukiuka uhuru wa Habari na kupata Taarifa, huku waathi
Sheria za Uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, hizi pia zimetumika sana kuzitisha asasi za kiraia Pamoja na washirika
Sheria ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2002, ambayo Pamoja na mambo mengine iliweka kikomo cha usa
Sheria zingine ni pamoja na Sheria ya Makampuni ambayo iliyafuta makampuni ya dhamana (Company limited by guarantee) yaliyokuwa yanafanya kazi bila kutengeneza faida, sheria ya Takwimu ambayo kwa kiasi kikubwa imezuia upatikanaji wa Takwimu huru na kuathiri mashirika yanayofanya tafiti. Pamoja na sheria hizo za kitaifa serikali yetu kwa mara ya kwanza, iliondoa itifaki ya Haki muhimu ya Asasi kuishitaki serikali katika Mahakama ya Afrika haswa katika masuala ya Uvunjwaji wa
Tathimini hii tuliyoifanya kwa umoja wetu inaonesha kwamba licha ya mchango mkubwa wa asasi za kiraia, changamoto hizo za kimfumo, kisera na kisheria kwa takribani miaka sita (6) na Zaidi kwa kiwango kikubwa ziliathiri utendaji na ustawi wa asasi za kiraia na washirika wake kiasi cha baadhi ya asasi za kiraia kufungiwa akaunti zao za kibenki, zingine zilifutiwa usajili wao kwa muda, Zingine zilizuiliwa kufanya Warsha na Makongamano ya ndani, kuzuiliwa kwa muungano wa asasi za Kiraia zenye uzoefu wa muda mrefu katika kutoa elimu ya uraia na uangalizi wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 yaani Tanzania Civil Society Consortium for Election Observation (TACCEO), vitendo hivi na vingine vingi kwa ujumla wake vilikandamiza na vinakandamiza uhuru wa kazi wa asasi za kiraia.
WITO.
Kwa ujumla hali hii imefanya asasi za kiraia na washirika wake hapa nchini kuwa na hofu kubwa katika kipindi hiki. Asa
i. Wito kwa Serikali
Serikali irudishe I
Kwa kuwa sheria hizi zilirekebishwa na kuletwa kwa hati ya dharura, Serikali ifanye marejeo ya she
na washirika wake, ikiwa ni pamoja na Sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali, Sheria ya Utekelezaji wa haki za msingi (BRADEA), sheria ya makosa ya mtandao, sheria ya Takwimu, sheria ya Habari, sheria ya haki ya kupata taarifa, sheria ya uhujumu uchumi na utakatish
Kupitia upya na kur
ii. Wito kwa vyombo vya Habari
Kuungana pamoja na asasi za kiraia na wanaharakati katika kuzipinga sheria kandamizi kama sheria ya Habari, sheria ya haki ya kupata taarifa, sheria ya takwimu na sheria za makosa ya kimtandao na kanuni za maudhui ya kimtandao ambazo kwa Pamoja zinaathiri utekelezaji wa majukumu yao ya kutoa Habari kwa umma.
Vyombo vya Habari n
Viongozi, wahariri
iii. Kwa asasi za kiraia
· Asasi za kiraia ziendelee kufanya mapitio ya sera na sheria kandamizi ili kushauri serikali juu ya maboresho yanayo hitaji
· ziungane kwa pamoja kuendelea kupaza sauti kwa serikali ili serikali itambue na kuweka mifumo na utaratibu mzuri unao ruhusu ut
· Kutoa elimu kwa umma
iv. Kwa Jumuiy a za kimataifa
Jumuiya za kimataifa hapa nchini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo na wanadiplomasia
serikali kuendelea kuishauri serikali kuheshimu misingi ya utawala bora, haki za binadamu haswa uhuru wa kuk
IMETOLEWA KWENU NA: -
1. Reach Out Tanzania (ROT)
2. Policy and Legal Assistanc e Organization (PLAO)
3. Tanzania Students Network
4. Binti Makini Foundation
5. Her Education Foundation f

No comments:
Post a Comment