HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 19, 2023

TEN/MET WAZINDUWA MPANGO MKAKATI KWA MWAKA 2023-27


Mkurugenzi wa Uthibiti ubora wa Shule kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Bw. Ephraim Simbeye (wa pili kulia) ambaye ni mgeni rasmi akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kwenye hafla ya maadhimisho ya miaka 23 ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi hiyo akikata keki ya miaka 23 na mwenyeji wake, Mwenyekiti wa Bodi ya TEN/MET, Ms. Faraja Nyalandu katika sherehe hizo. Kutoka kushoto wakishiriki tukio hilo ni Mratibu wa TEN/MET taifa, Bw. Ochola Wayoga pamoja na Mratibu wa TEN/MET mstaafu Bi. Cathleen Sekwao.

Mwenyekiti wa Bodi ya TEN/MET, Ms. Faraja Nyalandu akizungumza katika sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) na uzinduzi rasmi wa Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi hiyo.

Wageni waalikwa na wadau wa elimu wakiwa kwenye hafla ya maadhimisho ya miaka 23 ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi hiyo zilizo fanyika Hoteli ya katika sherehe hizo.

Hafla ya uzinduzi ikiendelea katika Hoteli ya Four Points by Sheraton jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa TEN/MET taifa, Bw. Ochola Wayoga akizungumza na wageni waalikwa kuelezea kwa kina namna Mpango Mkakati wa TEN/MET uliozinduliwa utakavyofanya kazi.

Wageni waalikwa na wadau wa elimu wakiwa kwenye hafla ya maadhimisho ya miaka 23 ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi hiyo zilizo fanyika Hoteli ya katika sherehe hizo.

Mkurugenzi wa Uthibiti ubora wa Shule kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Bw. Ephraim Simbeye ambaye ni mgeni rasmi akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kwenye hafla ya maadhimisho ya miaka 23 ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi hiyo akihutubia wageni waalikwa kabla ya uzinduzi rasmi.


Mkurugenzi wa Uthibiti ubora wa Shule kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Bw. Ephraim Simbeye (wa pili kulia) ambaye ni mgeni rasmi akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kwenye hafla ya maadhimisho ya miaka 23 ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi hiyo akifurahia keki ya miaka 23 na mwenyeji wake, Mwenyekiti wa Bodi ya TEN/MET, Ms. Faraja Nyalandu (kulia) katika sherehe hizo. Kutoka kushoto wakishiriki tukio hilo ni Mratibu wa TEN/MET taifa, Bw. Ochola Wayoga pamoja na Mratibu wa TEN/MET mstaafu Bi. Cathleen Sekwao.

Meza kuu katika hafla ya maadhimisho ya miaka 23 ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi ya TENMET ikigonganisha glasi kufurahia uzinduzi huo.

Mkurugenzi wa Uthibiti ubora wa Shule kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Bw. Ephraim Simbeye (katikati) ambaye ni mgeni rasmi akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, akikata utepe kuzinduwa rasmi Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi hiyo, kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TEN/MET, Ms. Faraja Nyalandu pamoja na Mratibu wa TEN/MET taifa, Bw. Ochola Wayoga wakishiriki.

No comments:

Post a Comment

Pages