March 15, 2024

CRDB yakabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Benki ni SimBanking Chanika Dar


Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi  Benki ya CRDB, Stephen Adili (kushoto), akimkabidhi funguo ya Pikipiki mmoja wa washindi wa Promosheni ya Benki ni SimBanking, Rahma Abdul, hafla ya makabidhiano ilifanyika Chanika Mkoa wa Pwani. 

 Mshindi wa Promosheni ya Benki ni SimBanking Miamala, Rahma Abdul, akionesha funguo ya pikipiki mara baada ya kukabidhiwa rasmi zawadi yake. 









No comments:

Post a Comment

Pages