March 03, 2024

MAJONZI NA HUZUNI MAZIKO YA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akishindwa kujizuia kwa huzuni wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar tarehe 02 Machi 2024.

Ndugu na Jamaa wakiwa ndani ya majonzi makubwa wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar tarehe 02 Machi 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye shughuli za kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar tarehe 02 Machi 2024.

Buriani MZEE ALI HASSAN MWINYI.


No comments:

Post a Comment

Pages